Vigezo vya Mikopo

1. Riba 10% kwa mwezi.

Inalipwa kila mwezi kwa Mpesa au kwenye bank account yetu.

2. Gharama ya maombi ya mkopo Tshs 50,000.

Ukishalipia, watoa huduma wetu watakuja kukagua dhamana kama ni mali. Kama ni gari/Bajaji au Pikipiki, itawekwa kwenye jina la Madam Pesa Microfinance Ltd kwa kipindi cha ndani ya Mkopo, gharama za TRA za kubadili jina zitatolewa kwenye mkopo. Utaambiwa mapema gharama hizi.

3. Gharama za kupata mkopo Tshs 50,000.

Inahusisha muhuri wa mwanasheria kwa ajili ya mkopo, inalipwa wakati maombi ya mkopo yamekubaliwa, hii inaweza kutolewa kwenye mkopo wako au ukalipa tofauti.

4. Mkopo ukiwa umekubalika.

Mkataba utasainiwa ofisini kwetu, utakuja na mashahidi wawili.