Habari njema kwa wakazi wa Dar es Salaam.

MADAM PESA MICROFINANCE LIMITED inapenda kuwafahamisha wakazi wa Dar es Salaam kuwa kuanzia mwezi January 2021 tutaanza rasmi kutoa mikopo,
Ofisi zetu zipo Mbezi beach jengo la Classic Mall. Tunatoa mikopo kwa makundi yafuatayo:-

  • Mikopo ya wafanyakazi
  • Mkikopo ya dharura na haraka
  • Mikopo ya Biashara
  • Mikopo binafsi

Karibuni sana.