MIKOPO YA WAFANYAKAZI - DHAMANA NI MSHAHARA

Wafanyakazi wanaweza kukopa mkopo kiasi wanachokihitaji kulingana na kiwango cha mshahara wao kwa mwezi. Dhamana itatolewa na muajiri wako kwa kuthibitisha mshahara wako kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita.


Taarifa za Muombaji/Personal Details

Taarifa za Mkopo/Loan Details

Other loans outstanding/mikopo mingine
Wadhamini/Guarantors
Viambatanisho/Attachments