Madam Pesa Microfinance Ltd.

Ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala ya mikopo ya dharura kwa wafanyakazi, watu binafsi na wafanya biashara kwa dhamana rahisi. Ofisi yetu ipo Classic Mall, Mbezi Beach, Plot No 182, Block C Kinondoni Municipality, Dar es Salaam. Kampuni yetu imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 19/10/2020. Utambulisho wa kampuni namba 144360427.


Tunatoa mikopo kwa wafanyakazi kwa dhamana ya ajira. Watu binafsi kwa dhamana kama gari, pikipiki, nyumba au kiwanja na kwa wafanyabiashara kwa dhamana ya biashara.Mikopo hutolewa ndani ya masaa 24 na riba zetu ni nafuu.

Huduma Zetu

masaa ya kazi

Kwanini uchukue mkopo kwetu?


Kujali Wateja


Tunaaamini katika kutoa taarifa zilizojitosheleza kwa wateja wetu juu ya kanuni na taratibu za kupata huduma zetu kwa urahisi.

Riba Nafuu


Riba yetu ni ndogo na vigezo vyetu ni nafuu sana, kwani utaweza kulipa kidogo kidogo bila kujikwaza. Na utaweza kukopa tena kwetu.

Ufanisi Wa Huduma


Huduma zetu zinatolewa kwa ufanisi mkubwa na kwa haraka zaidi.