Sisi ni nani

Madam Pesa Microfinance Ltd.

Ni kampuni binafsi inayojihusisha na masuala ya mikopo ya dharura kwa wafanyakazi, watu binafsi na wafanya biashara kwa dhamana rahisi. Ofisi yetu ipo Classic Mall, Mbezi Beach, Plot No 182, Block C Kinondoni Municipality, Dar es Salaam. Kampuni yetu imesajiliwa chini ya sheria ya makampuni ya mwaka 2002 na kuanza kazi tarehe 19/10/2020. Utambulisho wa kampuni namba 144360427.

Our Team